litafutwe tu,mi roho haijatoka,kiti hakikalikiGoli la pili linatafutwa hapa
Kama mourinho tu yani.Huyu Pablo na huu munkari, vitani unaenda nae kabisaaa
Karibu sisi ndio kaka zaoSSC kuna warembo jaman
Ukishakubali tu kwamba ni faulo ndani ya 18 hakuna namna nyingine zaidi ya penalty.Huwezi kucheza kama punda halafu isiwe penati
Simba iko vyemaSSC kuna warembo jaman
Unataka mpaka mchezaji age ndo ukubali kuwa ni faulo?Makolo wanabebwa dah