Unasemajeeeee?Penalty anazosababisha Sakho huwa hazifungwi.
Kibu mpuuzi sana
kuna mmoja kapigwa kipepsi hapaLeteni updates
Ajib anajaribu kwenda kuuza siri za Kagere kwa Kigonya
Kaoge ulale simba itakutoa roho
Wenyewe wanadai kuwa ni kombe lao.Azam mbona hawakazagi hivi ligi kuu ama wenyewe wanakazaga mapinduzi tu