Simba 1-0 Azam FC | Simba yatwaa ubingwa kombe la Mapinduzi

No soma vizuri Mzee. Lazima goalkeeper audake na mikono. But Manula kaucheza kwa miguu. Usiingie kwenye mtego wa wachambuzi uchwara akina Prividinho
Sasa kwa hicho kifungu kinasema haijalishi hata kama goli kipa kashika kwa mikono au lah,
 
Mtani wangu Bill Leo hujataka hata kutokea. 🀣

Ulijua ni rahisi eee?🀣
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
Hapana mtani. Yaani nilikuwa nimebanana na majukumu nikashindwa kuingia hapa wala kuufuatilia mchezo lakini nilijua tuu lazima tushinde
 
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
Hapana mtani. Yaani nilikuwa nimebanana na majukumu nikashindwa kuingia hapa wala kuufuatilia mchezo lakini nilijua tuu lazima tushinde
Hahahaaaa. Hamna kitu ka hiyo Mtani.

Sema ulikuwa unasikilizia. 🀣🀣
 
Hahahaaaa. Hamna kitu ka hiyo Mtani.

Sema ulikuwa unasikilizia. 🀣🀣
Kati ya mechi zinazotabirika kwa Simba ni Azam. Yanga huwa ni ngumu haitabiriki kwani nyie mtani ubingwa kwenu ni kutufunga 🀣

Huyu nilijua lazima tumlambe kwani kwa kikosi cha sasa Azam saizi yetu tunajipigia tu.
 
AHSANTE SIMBA AHSANTEH SANAAAAA SIMBA mmenufanya wikiendi yangu iwe njema sana natembea kifua mbele kama nmepigwa ngumi za mgongo!!
Simba rahaaaaaa
 
Kati ya mechi zinazotabirika kwa Simba ni Azam. Yanga huwa ni ngumu haitabiriki kwani nyie mtani ubingwa kwenu ni kutufunga 🀣

Huyu nilijua lazima tumlambe kwani kwa kikosi cha sasa Azam saizi yetu tunajipigia tu.
Hahahaa. Hivi kama sio ile penalti kulikuwa na kujipigia kweli Mtani.

Shukuruni tu mulipata goli la kupewa. Teh teh. πŸ˜…

All in all hongereni.
 
Hahahaa. Hivi kama sio ile penalti kulikuwa na kujipigia kweli Mtani.

Shukuruni tu mulipata goli la kupewa. Teh teh. πŸ˜…

All in all hongereni.
Hatujapewa mtani. Yule kipa mshamba kawagharim Azam. Anadakaje mpira akiwa ametanguliza daruga. Ndio maana alizawadiwa kadi. Check highlights utaona mtani.

Ila Azam wanakuja vizuri kwa sasa.
 
Hatujapewa mtani. Yule kipa mshamba kawagharim Azam. Anadakaje mpira akiwa ametanguliza daruga. Ndio maana alizawadiwa kadi. Check highlights utaona mtani.

Ila Azam wanakuja vizuri kwa sasa.
Mi aliniudhi sana yule kipa hakujua tu. πŸ™

Ile saa mmepata ile penalti Mtani nikaenda zangu kulala. πŸ˜…
 
Hahahaa. Hivi kama sio ile penalti kulikuwa na kujipigia kweli Mtani.

Shukuruni tu mulipata goli la kupewa. Teh teh. πŸ˜…

All in all hongereni.
Hata penati isingetokea Simba wangeshinda maana Simba huwa mda unavyoenda wanazidisha mashambulizi
 
Mmh!! Labda zamani.
Azam wangefungwa tu maana kuna Morrison ndio waliingizwa kuongeza mashambulizi, but baada ya Ile goli Simba iliamua kulinda na mashambulizi ya kushtukiza
 
Mikosi alikua nayo mwendazake
Mnapotaka kuchanganya interest zenu za kisiasa na mpira ndio mtaharibu sasa, humu kuna wanaomkubali huyo unaemuita mwendazake na wasiomkubali na wote ni mashabiki wa Simba Sc.

Acha upumbavu.
 
Hata penati isingetokea Simba wangeshinda maana Simba huwa mda unavyoenda wanazidisha mashambulizi
Ile penati ingekuwa wanacheza Yanga pale halafu kipa wa Azam kafanya vile basi yangetolewa shutuma nyingi sana kuwa Kigonya kapewa muamala baada ya mapumziko.
 
Ile penati ingekuwa wanacheza Yanga pale halafu kipa wa Azam kafanya vile basi yangetolewa shutuma nyingi sana kuwa Kigonya kapewa muamala baada ya mapumziko.
Penati za wazi zinaonekana na za miamala zinaonekana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…