Simba 1-0 Azam FC | Simba yatwaa ubingwa kombe la Mapinduzi

Simba 1-0 Azam FC | Simba yatwaa ubingwa kombe la Mapinduzi

wachezaji washaingia uwanjani na saizi wanapoga piga ma photo hapa namuona raisi hussein mwinyi akijongea kwa shauku kubwa kupiga picha ya ukunbusho na mastaa wa simba
 
Rais alivyofika kwa sakho kaingalia sana miguu yake huku akishangazwa sana as if kaona something strange
 
Mayele huko aliko anajisemea dah isingekuwa ujora leo hii ningepiga picha na Rais nikawavimbie kongo
 
Back
Top Bottom