ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
- Thread starter
- #641
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ndio kitu ambacho mimi najiuliza, kwamba ili faulo ilete mantiki kulitakiwa kuchezeka kosa gani?ila Inonga aliunyanyua mpira kwa mguu akaupiga kwa kichwa kwa Manula ,hata angeushika Manula bado siyo kosa
Mambo yamefanyika kiharaka haraka au simba ilisha design kabisa hili bango kabla hata ya mechi nini?
Ule mchomo wa Ajib alioupangua ungeleta maneno sana mitandaoni.Safi sana manula kwa kulinda gazeti lako lisichafuke
Xhaka kashawaharibia huko, kala umemeNasubiri Arsenal vs Liverpool hapa.
Simba imekamilika kila idara na ndio maana hata azam hawajilaumu kufungwa, ni uto tuUle mchomo wa Ajib alioupangua ungeleta maneno sana mitandaoni.
Mimi sio Arsenal mkuu ni jogooXhaka kashawaharibia huko kala umeme
Na ndio kitu ambacho mimi najiuliza, kwamba ili faulo ilete mantiki kulitakiwa kuchezeka kosa gani?
Kwasababu hata kama mwamuzi alitafsiri kwamba heninga aliunawa mpira basi ingewekwa penati sio freekick
Mikosi alikua nayo mwendazakeIlisha zoeleka na ikawa kama desturi kwamba mechi yeyote ambayo simba anacheza afu akauzulia raisi basi simba lazima inapoteza hiyo mechi
Now tumekuja kubadilisha hiyo imani ya kishirikina, tunakufunga popote as long as tumeamua
Shaka akicheza bila kupata Yellow or Red ndio huwa nashangaaXhaka kashawaharibia huko kala umeme
Basi refa alikuwa sahihi
No soma vizuri Mzee. Lazima goalkeeper audake na mikono. But Manula kaucheza kwa miguu. Usiingie kwenye mtego wa wachambuzi uchwara akina PrividinhoBasi refa alikuwa sahihi
Baada ya wao kumiliki mpira na sisi kubutua butua nini kilifuata???,,,,, jinga kabisa utopolo