Simba 1-0 Prisons | Ligi kuu bara | Benjamin Mkapa

Simba 1-0 Prisons | Ligi kuu bara | Benjamin Mkapa

Scars

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2017
Posts
48,055
Reaction score
116,512
Simba imeshinda mchezo wake wa ligi kuu bara dhidi ya wajelajela wa Tanzania Prisons, goli pekee la Meddie Kagere alilofunga kwa mkwaju wa tuta dakika ya 64 baada ya muamuzi wa mchezo kusema beki wa Tanzania Prisons kanawa mpira kwenye eneo la hatari.

FT: Simba SC 1-0 Tanzania Prisons

64' Meddie Kagere

Msimamo wa ligi kuu Feb 3

msimamo ligi kuu.jpg
 
Dakika ya 08 onyango kafanya mistake ambayo ingeigharimu timu lakini mpira unatoka nje na kuwa kona
 
Hili shambulizi lilikuwa Kali sana Onyango bahati yake ila hili lilikuwa tuta Onyango kashika
 
Naona prisons nao wanacheza counter attack kwa kumuacha mshambuliaji mbele halafu wengine wakishuka chini kulinda
 
Ila huyu Mbangula tuwe nae makini ni hatari sana huyu
 
Bwalywa kapiga cross ndefu chama kashindwa kuikuta kumalizia tu
 
16' Dilunga anawekwa chini ni freekick
 
Back
Top Bottom