Simba imeshinda mchezo wake wa ligi kuu bara dhidi ya wajelajela wa Tanzania Prisons, goli pekee la Meddie Kagere alilofunga kwa mkwaju wa tuta dakika ya 64 baada ya muamuzi wa mchezo kusema beki wa Tanzania Prisons kanawa mpira kwenye eneo la hatari.