Simba 3-1 Premiero De Agosto

Simba 3-1 Premiero De Agosto

Smart AJ

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2022
Posts
5,564
Reaction score
5,884
Simba anashinda ugenini kwa goli tatu moja dhidi ya De Agosto. Magoli ya Chama kiungo konokono (kwa mujibu wa Tate mkuu)[emoji2957][emoji2957], kwa pasi ya Okrah, Israh kwa pasi ya Kanoute, na la tatu likiwekwa nyavuni na generali Phiri kwa pasi ya chama.

Haya siye tumecheza hivi leo, kuna kitu mmejifunza?

Ohooo, la kwao ni la tuta baada ya beki Kennedy Juma kunawa mpira akijaribu kusawazisha!
 
Back
Top Bottom