johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Tunakumbushana tu
Lolote laweza kutokea Simba vs Kaizer Chiefs.
Nawatakia Dominica yenye baraka!
Lolote laweza kutokea Simba vs Kaizer Chiefs.
Nawatakia Dominica yenye baraka!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaaa.........!Unadhani kuwa Liverpool ni kazi nyepesi enhe waulize mashabiki wa barca na Ac milan😀😀😀
Simba guvu moya!simba nguvu moja.
kaizer chiefs moto chini.
Muache kelele,tatizo lenu kelele mingi mpira mdogo.....Tujipangeni tu msimu ujao tumeshakosea hesabu.
Ni Tanzania pekee mhamasishaji anaitwa Msemaji wa timu.Muache kelele,tatizo lenu kelele mingi mpira mdogo.....
waswahili kama kina Manara wanawaanisha Simba ni timu bora kumbe baaado....
Manara ni bure kabisa.Ni Tanzania pekee mhamasishaji anaitwa Msemaji wa timu.
Si kweli kwamba mpira mdogo broo.Muache kelele,tatizo lenu kelele mingi mpira mdogo.....
waswahili kama kina Manara wanawaanisha Simba ni timu bora kumbe baaado....
Mpira wenu mdogo sana....Si kweli kwamba mpira mdogo broo.
Kwa jana tulizidiwa akili lakn haimaanishi mpira simba hatuna kabisa. Team zote duniani hufungwa, ongea kisoka sio kinazi.
Mwenye mpira mdogo kafika robo.😀😀 Sawa utopolo.Mpira wenu mdogo sana....
tactically mpo zero.....
mnachojua ni kuingiza wachezaji 11 waliovaa nguo za rangi nyekundu baaas
5:04 : 0
Ni kweli kabisa kua kwenye soka lolote linaweza kutokea ila kama Simba watacheza performance ile ile waliyocheza nayo jana basi wataongezwa goli zingine za ziada,
Simba watakua na kibarua kigumu sana cha kuwazuwia Kaizer wasipate goli la ugenini huku wao wakitafuta goli 4 au 5 za kufunga,
Good luck SSC.