Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 5,814
- 8,118
PALE WAMEPIGWAA KITU KIZITOYaani unamuacha MP unachukua garasa kama Freddy Michael kweli? Faida ni ndogo kuliko Hasara binafsi sijawahi kumkubali tangu aje. Ni wa kuachana naye haraka sana, hawezi kuwa mchezaji mzuri hata apewe miaka 100 maana nna wasiwasi kichwa chake hakipo sawa. Lakini pia waambieni wachezaji wadogo wasivimbe vichwa wajali maslahi ya timu sio binafsi.
Kama we ni Simba basi Simba tumetogwa hadi mashabikiJamaa ni bonge la striker, anajua kujiposition na hata mijongeo yake ipo makini.
Apewe muda.
Uchawi wa yanga unachangia strikers wa Simba kufanya makosa😃😃Me ni mshabiki wa Simba sc ila Fred yupo vizuri sana..najua shida yako kisa kakosa magoli..kumbuka yanga ni wachawi sana wanatuharibia wachezaji wetu..Fred yupo vizuri yale makosea yanatokea mzee ila uchawi wa yanga unachangua strikers wa Simba sc kufanya makosa