Simba acheni kununua mechi na waamuzi

Joined
Jul 29, 2021
Posts
21
Reaction score
78
Kati ya vitu ambavyo Simba wanatakiwa kufanya ni kuacha hii tabia yao ya kununua mechi,wanadeal na marefa na baadhi ya wachezaji wasio waaminifu.

Nianzie tu na marefa,asilimia 90 ya makosa wanayoita ya kibinadamu hasahasa magoal ya offside mpaka sasa yameinufaisha simba kuliko timu yoyote,mfano mwamuzi wa mechi ya simba na singida TATU MWALONGO amewapendelea waziwazi na kuwapa goal la offside ya wazi na hiyo haitoshi alipewa tena mechi ya ngao ya jamii Tanga vs singida haohao,mechi ya juzi simba vs ihefu beki wa ihefu baada ya kununuliwa akaona sio shida akatoa assist kwa baleke na wakafungwa goal la pili.

USHAURI
Takukuru chunguzeni ninayoandika hapa na mtagundua kuna upangaji wa matokeo kwa simba na hauanzii hapo unaanzia TFF kuna kamati maalumu ya mkakati wa kuibeba simba,nikupe mfano tu mpaka sasa zimechezwa mechi sita na simba za ligi lakini waamuzi wakike waliohusika kwenye mechi za Simba ni waamuzi wanne na wameonesha udhaifu mkubwa

,LENGO KUU LA KUWEKA WAAMUZI WAKIKE NI KUONDOA DHANA YA SIMBA WANABEBWA WASEME NI MAPUNGUFU YA KIBINADAMU KWA WENZETU WAKIKE,TAKUKURU SIJUI MNFANYA KAZI GANI NA HAYA MAMBO YAPO WAZI KABISA SIMBA WANANUNUA MECHI KUANZIA KWA MAREFA WACHEZAJI NA TFF NA NDIO MAANA MO DEWJI BAADA YA MATOKEO AGAINST SINGIDA ALITWEET MPIRA UNAITAJI SACRIFICE YA HELA,TAKUKURU SIWAMINI TENA KAMA HILI HAMTALIONA
 
Ubingwa wa yanga msimu uliopita marefa karibia 6 walifungiwa waliohusika ktk mechi zao hilo hulijui.
Simba ipo imara sana na hizo ni propaganda.
 
MTU ANAWEZA ONGEA LA MAANA...ILA KWA UPUMBAVU WA KISHABIKI...POINT YAKE INAWEZA IKAGEUZWA KISHABIKI.
 
Na ndiyo maana kwenye mashindano ya Kimataifa hawajawahi kuvuka hatua ya robo fainali. Wenzao Yanga msimu uliopita walicheza mpaka fainali kombe la shirikisho.
 
UTOTO RAHA SANA
 
Siku chache mlizokuwa mnaongoza ligi kelele hizi zilikoma sasa mnaona mna point sawa na Simba ana kiporo kimoja mayowe yameanza tena.
 
Wakati mnacheza na geita na kupewa penati ya nje ya 18 na morison akaweka mkashinda moja bila mlinunua mwamuzi?
 
Simba akibebwa na wewe pakatwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…