Simba acheni/punguzeni dharau

Makuzamkumbo

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2023
Posts
501
Reaction score
519
Sasa ndiyo Nini kumpanga kipa namba tatu gem ya mtani kama siyo dharau?

Eti unampanga Mzee Nyoni pale kati huwaogopi kina azizi ki aucho kina msondongoma jamani[emoji23][emoji23] halafu tulishawaambia Mzee onyango ni uchochoro Toka gem za raja ila mnatupuuza[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Halafu tulishaapa huyo Rasta man wenu hatajakaa awafunge nyoka nyoka hua anafunga timu mbovu tu ila bado mkampanga? Asee mbona tunachukuliana poa sana acheni dharau basi viazi nyie[emoji20][emoji20]

Halafu nyie vyura wa jangwani mkaomba apangwe Babu onyango Ili mpate uchochoro kama Raja tatizo mkasahau kwamba nyie sio Raja sasa[emoji23][emoji23][emoji23]

Mliogongwa kubalini tu mmebongolewa maneno mengi ya nini sasa? Eti goli la kwanza sio halali kisa haikua Kona Kwa hiyo wachezaji wenu walisusa kumdhibiti huyo mhuni Inonga kisa Kona haikua halali?

Halafu mnajisahau sana nyoko nyie gem yenu na azam Kona iliyowapeni goli la kwanza ilikua halali? Mlilalamika?

Gem yenu na Geita CCM kirumba penati mliyozawadiwa na refa mkapata goli ilikua halali? Mlilalamika?

Vipi gem na kagera sugar huko kaitaba goli mlilozawadiwa lilikua halali?

Au ndio kupanda apande ng'ombe akipanda punda anaumiza kisa lirungu lake likubwa sana[emoji23][emoji23]

Simba acheni dharau sijapenda

Misukule acheni kulialia kubalini tu mmebongolewa huo ndio ukweli na hautabadilika kamwe.

Kibuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Timu amepangwa Nyoni, Salim, Kapama, Mzamiru pale kati yale magarasa sijui Bangara, Aucho, Sure Boy Ulimi njeeeee.
Hongera kwa Mudathir alileta uhai pale kati. Rivers United watapiga mshono mpaka mtu atoke usaha.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja [emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]waje
 
Sawa mtani.Kaa uelewe tu;Daima mbele,nyuma kuna mwiko kama kasia.
 
Viatu vya mtani [emoji23] jangwani
 
Utani wa ngumi huu.
 
Timu amepangwa Nyoni, Salim, Kapama, Mzamiru pale kati yale magarasa sijui Bangara, Aucho, Sure Boy Ulimi njeeeee.
Hongera kwa Mudathir alileta uhai pale kati. Rivers United watapiga mshono mpaka mtu atoke usaha.
[emoji20][emoji20][emoji20][emoji44]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja [emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]waje
Hata wakija ukweli uko pale pale wamebongolewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…