Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Hata mkiandikwa vizuri hamtoi asante. Halafu mnalalamika kuwa wengine hata wakijisaidia wanasifiwa kuwa harufu yao nzuri.
Mkono mtupi haulambwi mbwa nyie....GSM nawapongeza wanajua kutujali.... Nasi hatutawaacha wapweke.
Kwani bado kuna watu wanasoma Magazeti au mkiwaandika wapi?Hata mkiandikwa vizuri hamtoi asante. Halafu mnalalamika kuwa wengine hata wakijisaidia wanasifiwa kuwa harufu yao nzuri.
Mkono mtupi haulambwi mbwa nyie....GSM nawapongeza wanajua kutujali.... Nasi hatutawaacha wapweke.
Endeleeni kushobokea hivyo vizawadi vidogovidogo , ipo siku mtavilipa kwa jasho na damu.Hata mkiandikwa vizuri hamtoi asante. Halafu mnalalamika kuwa wengine hata wakijisaidia wanasifiwa kuwa harufu yao nzuri.
Mkono mtupi haulambwi mbwa nyie....GSM nawapongeza wanajua kutujali.... Nasi hatutawaacha wapweke.
Darasa la tatu CHata mkiandikwa vizuri hamtoi asante. Halafu mnalalamika kuwa wengine hata wakijisaidia wanasifiwa kuwa harufu yao nzuri.
Mkono mtupi haulambwi mbwa nyie....GSM nawapongeza wanajua kutujali.... Nasi hatutawaacha wapweke.
Mkuu , ulishaambiwa kule utopoloni wenye unafuu wa kiakili ni wawili tu. Hawa wengine ni hamnazo . Sasa unategemea aandike nini cha Maana zaidi ya uharo kama huo?Simba haihitaji vipeperushi km Champion, sport Xtra, mwanasport kujitangaza Africa,.
Mechi zake na akina Al Ahly, Asec Mimosas, RsBerkane zinatosha Afrika na dunia kuijua SIMBA, bila kusahau matokeo chanya uwanjani...
Dunia ya leo unaamini kuandikwa ni kwenye magazeti tu? Upo kijiji gani bwasheee?Kwani bado kuna watu wanasoma Magazeti au mkiwaandika wapi?