hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 13,628
- 20,992
Kwa taarifa zilizopo Ni Kwamba Simba akipoteza point 3 tu, au akidroo mechi 2 na kupoteza points 4, Basi rasmi atapewa mkono wa burihani.
Kwa Sasa kiuhalisia Yanga anamuacha Simba point 5 ,hiyo mechi ya kiporo ,Kamati ya ushindi ya Yanga haiwezi kukubali wapoteze au wasare.
Mkakati uliopo Ni kuhakikisha Simba akipoteza point 3 au 4 , Litengenezwe gepu la points 8 had 9, Kisha Simba aambiwe ukweli ajipange msimu ujao.
Points 8-9 ukiachwa na Yanga hii ,shughuli inakuwa imeishia hapo
Azam Hana ubavu wakukimbizana na Yanga ,maana yeye kimahesabu kaachwa points 6 , bado hajavutwa mechi 2 au 3 .
Target ya Sasa Ni Simba apigwe mechi 1 au sare mechi 2 , Kwanza kutatokea fujo ya kutukuzana na migogoro maana Hadi Sasa Simba hawajafanya uchaguzi pia Kuna mahitaji ya mabadiriko ya Katiba.
Kupoteza points 3 au 4 automatically wale wanaotaka uongozi Simba watatumia huo mwanya kuleta migogoro ,maana Ni dhahiri Yanga hatakamatika Tena .