Simba alijitahidi ku promote mechi yanga anajitahidi ku promote matokeo

Phamarcist

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2021
Posts
219
Reaction score
479
Kwema?

Hivi karibuni Kumekua na minong'ono ya hapa na pale, huku tena bila aibu kuna wazee ambao ni wakongwe wa hizi derby wanajitokeza wakidai club ya wanarunyasi walipwe fidia ya takribani mill 100 japo hatujui alitumia kigezo kipi kutaja figure hiyo.

Ni hivi ukweli uliopo ni kwamba uongozi wa YANGA na GSM kwa ujumla ni wataalamu wa kucheza na fursa na wanajua ni nini wanafanya. Kwa ushauri tu, wanachama na mashabiki wa simba wasikubali kuingia kwenye mtego wa kuendelea kuyaongelea yale matokeo hiyo ndiyo tiba yao kuu.

Kuendelea ku draw attention kwenye matokeo yale kutawafanya muendelee kuchukua maamuzi kimihemko kama mulivyofanya kwa robatinyo na wengine wengi.

Simba ana squard nzuri ana quality players na anakila kitu cha kumfanya awe bora kuanzia ndani mpaka nje ya nchi, kilichotokea tarehe 5/11/2023 ni kuzidiana ki mbinu tu na sio kingine.

YANGA BINGWA TENA MSIMU HUU.
 
Haya ni matangazo ya kupromote mechi yetu ya marudio na ninyi
 
Yanga walilaumiwa na Simba+ TFF Kwa kususia kuhamasisha mashabiki

Ila saiz Yanga anahamasisha matokeo [emoji1][emoji23]
 
Back
Top Bottom