Simba alipoomba Maridhiano na Wanyama Sungura akabaki mlangoni akijisemea " naona nyayo za kuingia tu zinazotoka sizioni" hiyo Ndiye Tundu Lisu!

Simba alipoomba Maridhiano na Wanyama Sungura akabaki mlangoni akijisemea " naona nyayo za kuingia tu zinazotoka sizioni" hiyo Ndiye Tundu Lisu!

Mwambie jamaa yako kashayatimba !! tena kayatimba ya moto moto!! Hakuna namna nyingine bwa sheee!!
 
Hadithi za Kitambo Sana lakini ukweli wake ndio tunashuhudia Leo Hapo Chadema mikocheni

Jaribu kufikiria Pundamilia, Swala, Pofu, NYUMBU, Sungura wataridhiana Nini na Simba Ili wasiliwe

Mlale Unono 😄
Hii statement imemaliza kila kitu
Asiyesikia na asikie
😆🤣🙏👍✍️🤝🤛🏃🏃‍♀️👋😀👐🪂
 
Mkuu johnthebaptist Lengo lako nimeshalitambua, unataka niiandike hadithi inayohusiana na hiyo heading humu ili na wewe uwahadithie watoto wako.
Ngonjera hizo anazo Lucas Mwashambwa.

Wanunulie watoto wako vitabu vya hadithi mkuu, watu hatuna muda wa ku type hadithi humu.
 
Back
Top Bottom