Simba anashinda 3:0 dhidi ya Fc platinum

Simba anashinda 3:0 dhidi ya Fc platinum

CK Allan

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2013
Posts
2,781
Reaction score
6,139
Ndio hivyo simba atashinda goli moja kipindi cha kwanza na magoli mawili kipindi cha pili..

Ndivyo nilivyoona matokeo ya hii game
 
Ndio hivyo simba atashinda goli moja kipindi cha kwanza na magoli mawili kipindi cha pili..

Ndivyo nilivyoona matokeo ya hii game
mnajifariki! Safari yenu inaishia Januari 06, 2021! Dua zangu nazipeleka kwa Namungo!
 
Unapoweka utabiri wako jitahidi kutuambia

1. Chanzo cha Taarifa ni Mizimu uchawi maombi ama ni nini.

2. si Vibaya ukituambia hao wafungaji wa Magoli kwa upande wa Simba.

3. Je ni mchezaji Gani wa Simba atakayekuwa Mchezaji bora wa mchezo husika.

4. je mpinzani ataibuka na magoli mangapi.

5 UTABIRI WAKO HAUNA NYAMA.
 
Back
Top Bottom