Simba anashinda na heshima inaenda kudumishwa kwa mkapa

Simba anashinda na heshima inaenda kudumishwa kwa mkapa

Kaghambe

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2023
Posts
588
Reaction score
716
Leo ndio leo. Hatimae ile siku iliyo subiriwa miezi kadhaa imetimia ni masaa wachache tu tukashuhudie mnyama simba akiandika historia nyingine. Simba anakuwepo katika kundi la timu chache zilizopata kuanza kwenye AFRICAN FOOTBALL LEAGUE. na kwa ukubwa zaidi pira linatandikwa hapo kwa mkapa yaani mashindano haya tunaanza kuyafungua sisi simba na al ahly tena ndani ya nchi yetu. Heshima kubwa saana hii. Uto bin vinyesi msinune tunawatengenea njia mje mpite kenge nyie..

Ingepaswa leo kuwa siku ya mapumziko na taifa kwa ujumla kuanzia viongozi wawepo kwa mkapa na majumban woote tuangalie mnyama simba kila kona kola kinanda umiza kila ilipp TV watu wamuone mnyama.

Yaani kumuangalia mnyama ilipaswa iwe sheria ya siku ya leo kwa hili taifa letu..
1697686344463.jpg

Kuna michura itanuna zaidi baada ya leo maana yamenuna na yatanuna zaidi.
 
Back
Top Bottom