Simba anavaa chapa ya chaos Ghalib Said Mohamed (GSM)

Yani huyo Utopolo ujuaji mwingi Kaishia kuandika Vitu mpaka aibu! Eti kampuni kubwa duniani ya ANTA SPORTS yenye level za kina NIKE na ADIDAS inayoingiza mapato ya Trillion 5 za Kitanzania inamilikiwa na GSM! Aibu hii.

View attachment 2026708
[emoji23] kijana kaja mjini juzi kisa kushinda kariakoo kaanza kujiona anajua kila kitu [emoji23]
 
[emoji23] kijana kaja mjini juzi kisa kushinda kariakoo kaanza kujiona anajua kila kitu [emoji23]

Huyo ninaamini ni hawa Madogo waliomaliza Mtihani wa Kidato cha IV Wiki iliyopita hivyo kasubiri Shemejiyake kaingia Bafuni kachomoa Simu yake kwenye Chaji ndiyo kaja kuandika huu upuuzi.
 
Mpo bize kuibomoa simba ila kwa sasa mshachelewa
 
Umemaliza kabisaaa[emoji122][emoji122][emoji122][emoji119][emoji119][emoji119][emoji1][emoji1][emoji1][emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…