Ukiona hivyo ujue timu yako ni
TIA MAJI
Sasa south hakuna joto kama letu hapa huko wanaweza cheza saa sita mchana na wakavaa makoti..mbona Memelodi anaruhusiwa kila siku anapocheza na waarabu anaanza mechi saa tisa kule south.
ila mamelodi huyo huyo akicheza na weusi wenzake anaanza mechi jua limeshazama
Wanafanya hivyo sababu za kiusalama hujawahi kuishi South Africa kule paone kwa nje tu
Kwenye hizo kaangalie Mamelodi alicheza kwenye mji gani halafu njoo hapa tenaJe usalama ni mechi na waarabu tu ?
Mbona mamelodi huyo huyo akicheza na weusi anacheza usiku.
Mwezi uliopita Mamelodi amecheza na Petro luanda kacheza mechi usiku south
Simba ameenda kucheza na kaizer soweto na mechi imechezwa usiku
Simba kaenda kucheza na orlando soweto mechi imechezwa usiku
Mamelodi mjanja mjanja.. anatazama mpinzani wake ubora wake ukoje
Timu zisizo na ubora huwa anacheza nazo jua limeshazama.
Ila timu zenye ubora za kiarabu ila anacheza nazo kwenye jua tena saa tisa mechi ndio inaanza
Kwenye hizo kaangalie Mamelodi alicheza kwenye mji gani halafu njoo hapa tena
Kutoka kwenye mvua mpaka jua, [emoji849]Habari wadau. wiki ijayo simba anarudiana na Wydad kwa mkapa.
Ni vizuri mechi hiyo ianze saa tisa jua bado kaii ili iishe saa 11 kasoro jua bado halijazama pia
Hii mbinu anaitumia Mamelodi Sundown anapocheza na waarabu , waarabu hawajazoea kucheza kwenye jua
Kama CAF wanairuhusu Mamelodi kucheza home game zake saa 9 jua kali. na Simba na yeye aruhusiwe
Janja janja nayo ni mbinu za ushindiKama haujui kucheza mpira ni haujui tu Mkuu.
UNGEWAPA MBINU ENDELEVU NA SIO JANJA JANJA.
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Mamelodi nyumbani kwake ni Pretoria.. ndipo anachezea mechi zake
Pretoria ni mji salama kuliko Johannersburg.
Mechi za Jo burg zinachezwa usiku. Why not pretoria ?
Na kama pretoria sio salama mbona Mamelodi huyo huyo Petro luanda amecheza nae usiku ?
Kwenye kundi lake mamelodi ana mechi na Tp mazembe. Utaona muda atakaocheza na mazembe , utakuwa jua limezama.. huku Waarabu anacheza nao saa tisa mch
Unajua leo Mamelodi kacheza kwenye kiwanja kipi tuanze hapa tuelewaneJe usalama ni mechi na waarabu tu ?
Mbona mamelodi huyo huyo akicheza na weusi anacheza usiku.
Mwezi uliopita Mamelodi amecheza na Petro luanda kacheza mechi usiku south
Simba ameenda kucheza na kaizer soweto na mechi imechezwa usiku
Simba kaenda kucheza na orlando soweto mechi imechezwa usiku
Mamelodi mjanja mjanja.. anatazama mpinzani wake ubora wake ukoje
Timu zisizo na ubora huwa anacheza nazo jua limeshazama.
Ila timu zenye ubora za kiarabu ila anacheza nazo kwenye jua tena saa tisa mechi ndio inaanza
Un
Unajua leo Mamelodi kacheza kwenye kiwanja kipi tuanze hapa tuelewane