THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,516
- 5,463
Inachekesha pale unajua Hawa ni wehu ila daily unawaandikia maandiko ukidhani watapona uwehu wao sasa kama wewe ushajua Hilo why daily unajibizana na wehu?Ukishabikia sana simba na yanga Lazima uwe Mwehu
Hilo jibu lake lipo kwenye taarifa waliyoijibu Yanga. Ni kwamba hawakuahirisha mechi kwa sababu ya taarifa ya Simba, bali kutokana na taarifa za maafisa wao walioshuhudiaNawaza tu hata wewe waza Bodi ilitoa hoja za usalama na Rushwa najiuliza.
Hivi Simba walivyozuiwa kupiga mazoezi ingetoa wakaacha kutoa Taarfa ya kugomea kucheza Match!
Bodi mngeahirisha game Kwa hizo hoja zenu??
Au ndio imekua corner stone?
Hapo ndio watu wanapopat ukakasi wanajiuliza Hilo swali kama hamkuahirisha match kwa matakwa ya Simba ingetokea Simba wakapiga kimya Game isingekuepo?
#MEXICO🇲🇽
UKISHABIKIA SANA SIMBA NA YANGA NI LAZIMA UWE MWEHUInachekesha pale unajua Hawa ni wehu ila daily unawaandikia maandiko ukidhani watapona uwehu wao sasa kama wewe ushajua Hilo why daily unajibizana na wehu?
na unajibu Nyuzii za wehu?
Kama wewe Sio MWEHU MWENYEWE?