Rosh Hashannah
JF-Expert Member
- Sep 13, 2017
- 3,415
- 2,043
Simba asiposajili DM na striker wa uhakika lawama zitaendelea.
Kounate ni box to box midfielder, kucheza kama Defensive Midfielder ni kumforce sana. Pia kama ataendelea kucheza DM apunguze foul za ovyo. Mkude haeleweki kama no. 6 au 8 yaani...
Striker wapambane wamchukue Manzoki, hawa Kayombo, Bocco au Mzungu ni matapel tu.
Okwa Okwa kwa nini hapewi nafasiii jaman? Kaingia kipind cha pili lakin impact yake imeonekana.
Kapombe sijaelewa kwa nin hakuanza!
Sub ya chama pia nilishangaa
Ila Profesa Nabi ni kocha.. Yaani subs mbili zimetuvuruga, Aziz Ki aliporud no 10 aliwaka sana.