Rosh Hashannah
JF-Expert Member
- Sep 13, 2017
- 3,415
- 2,043
Hakuna midfielder atayekudumu simba bila mkude kuondoka maana wachezaji wote wanaoletwa kwenye nafasi ile wanaondoka wakiwa injury baada ya kupata nafasi na mda mwingi wa kucheza mkude yule ni next level upande wa pili na mwenzake tshabalala.Warudishe Fraga wasituzingue
Hili halizungumzwi ila lina ukweli.Hakuna midfielder atayekudumu simba bila mkude kuondoka maana wachezaji wote wanaoletwa kwenye nafasi ile wanaondoka wakiwa injury baada ya kupata nafasi na mda mwingi wa kucheza mkude yule ni next level upande wa pili na mwenzake tshabalala.
Hakuna midfielder atayekudumu simba bila mkude kuondoka maana wachezaji wote wanaoletwa kwenye nafasi ile wanaondoka wakiwa injury baada ya kupata nafasi na mda mwingi wa kucheza mkude yule ni next level upande wa pili na mwenzake tshabalala.
Huu ni uchochezi kama ulivyo uchochezi mwingine.Hakuna midfielder atayekudumu simba bila mkude kuondoka maana wachezaji wote wanaoletwa kwenye nafasi ile wanaondoka wakiwa injury baada ya kupata nafasi na mda mwingi wa kucheza mkude yule ni next level upande wa pili na mwenzake tshabalala.
Kwani kuna Forward Defensive Midfielder? Mbona unaongea pumba.ACHA UONGO.
1. Nabi sio profesa
2. Kanute hajawahi kufosiwa hiyo namba 6.
3. Simba inahitaji CDM Central defensive midfielder. Kiungo wa kati mkabaji. Na sio DM
4.KAMA HUJUI MPIRA TUTAWAPA SOMO LA KUWAFUNDOSHA