Tumeona Leo vijana wenu Wenye umri mdogo wakicheza mechi ya kirafiki na al hilal ya Sudan, tumeona timu yenu kimbinu na kiufundi ilivyo!
Al hilal awa wamepungua ubora wao kwa kiasi kikubwa sana ukilinganisha na al hilal Ile iliyocheza na yanga msimu juzi ikiwa ya moto ikiwa na vijana wakina Ibrahim imoro, nafikiri vita vya kule kwao sudani viliwaathiri sana mpaka wakakimbiwa na wachezaji wao muhimu!
Licha ya vita walikosa kucheza ligi kwa msimu mzima ni jambo liliwapunguza nguvu sana mpaka sasa wameomba kucheza ligi ya Mauritania ambayo aijaanza bado!
Pamoja na udhaifu wao Leo bado wamewapa Simba mechi inayomtaka kocha fadlu afanye kazi ya ziada kuiweka Sawa timu yake bado Ina mtihani wa kufanya!
Mechi za kimataifa uwa zinachezwa kimbinu sana na kiufundi lakini kwa kocha uyu wa Simba sijaona kama Yuko vizuri kimbinu kwa maana mechi hizi inatakiwa pia ujaribu mbinu zako uone namna utavyokabiliana na wapinzani wako kwenye mechi za kimataifa!
Uwezi kujaribu mbinu kwenye mazoezi na ukajipa asilimia 100 kwamba umefanikiwa bila kuzijaribu kwenye mechi kama hizi itakuwa unajidanganya na utakuwa kama kocha wa Azam aliyekurupuka kuanza na back 3 kwenye mechi ya yanga na akatandikwa chuma 4!
Simba kaongoza goli Moja kipindi cha kwanza alitakiwa awe na mbinu Bora za kulinda ushindi na kuongeza goli ama asiruhusu goli,
Jamaa wamerudi wakapata kadi nyekundu wakawa pungufu lakini bado wakawa wanaonekana kama vile wametimia kwa namna walivyokuwa wanacheza, akukuwepo tofauti kati ya timu pungufu na timu iliyokamilika, na bado wakasawazisha goli!
Iyo sio kwamba ni bahati mbaya bali ni ujumbe umetumwa kwamba timu yenu bado Ina mapungufu kibao na inakwenda kukutana na timu zenye uwezo zaidi ya hao al hilal au wanaolingana uwezo je watatoboa?
Timu nzima ilikuwa inapanda kipindi cha pili kwenda kutafuta goli baada ya kuona wako pungufu na bado wakawa wanajisahau wanapiga vipasi vya hapa na pale ambavyo avikuwa na madhara kwa mpinzani, counter attack Moja tu wakapigwa ikazaa goli!
Ndo hapo tunarudi kwenye suala la uzoefu pia kwa wachezaji uwa linasaidia sana awa vijana wa Simba wao wanavyocheza na timu za ligi kuu ivyo ivyo wanataka wacheze na mechi ya kimataifa sio Sawa ata kidogo!
Kina awesu wanakaa na Mpira kucheza na majukwaa mpaka wanaporwa mipira, but wenzao wa al hilal ulikuwa unaona Kuna uzoefu wanao kuliko Simba, walikuwa wanacheza objective football!
Nawaambia msiwe mnamaliza maneno kwa mechi za tabora united na fountain gate, tengenezeni timu bado sana vinginevyo mtawafata coast union na Azam mapema sana!