Simba atafungwa kwa kuidharau Wydad

Simba atafungwa kwa kuidharau Wydad

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Kama mtanzania nisingependa kuona timu yoyote ikifungwa. Ila kwa yanayoendelea wapendwa msishangae kabisa kuona simba akifungwa

Kumezuka msuguano wa kwa nini huyu achezeshwi yule achezeshwe. Mkumbuke haya ndio yaliwamaliza wakanywa 5 kwa Mkapa

Sasa kama unakwenda uwanjani kuishangilia Simba jipange na haya matokeo

Usiinite mganga

Adbest simba
 
Sijasikia wakitamgaza kuidharau Wydad.
 
Unawalakini kichwani wewe, yani kichwa cha uzi unasema simba atafungwa kwa kuidharau WAC, ila habari yenyewe unasema kocha kupangiwa wachezaji!
 
Kama mtanzania nisingependa kuona timu yoyote ikifungwa. Ila kwa yanayoendelea wapendwa msishangae kabisa kuona simba akifungwa

Kumezuka msuguano wa kwa nini huyu achezeshwi yule achezeshwe. Mkumbuke haya ndio yaliwamaliza wakanywa 5 kwa Mkapa

Sasa kama unakwenda uwanjani kuishangilia Simba jipange na haya matokeo

Usiinite mganga

Adbest simba
Mbona kama unajitekenya mwenyewe,Simba ameidharau vipi Waydad hebu elezea maana ulichofanya ni kama umekunya bila kuchamba.
 
Back
Top Bottom