Sijasikia wakitamgaza kuidharau Wydad.Kama mtanzania nisingependa kuona timu yoyote ikifungwa. Ila kwa yanayoendelea wapendwa msishangae kabisa kuona simba akifungwa
Kumezuka msuguano wa kwa nini huyu achezeshwi yule achezeshwe. Mkumbuke haya ndio yaliwamaliza wakanywa 5 kwa Mkapa
Sasa kama unakwenda uwanjani kuishangilia Simba jipange na haya matokeo
Usiinite mganga
Adbest simba
Mbona kama unajitekenya mwenyewe,Simba ameidharau vipi Waydad hebu elezea maana ulichofanya ni kama umekunya bila kuchamba.Kama mtanzania nisingependa kuona timu yoyote ikifungwa. Ila kwa yanayoendelea wapendwa msishangae kabisa kuona simba akifungwa
Kumezuka msuguano wa kwa nini huyu achezeshwi yule achezeshwe. Mkumbuke haya ndio yaliwamaliza wakanywa 5 kwa Mkapa
Sasa kama unakwenda uwanjani kuishangilia Simba jipange na haya matokeo
Usiinite mganga
Adbest simba
Yaani jamaa anatishia kunya ila anaishia kujampaMbona kama unajitekenya mwenyewe,Simba ameidharau vipi Waydad hebu elezea maana ulichofanya ni kama umekunya bila kuchamba.