Simba atafungwa na Yanga Jumapili

Kutokufungwa mara nyingi lini?? Simba na Yanga zimetawala droo na kufungana kwa kupokezana..
Hao uto hawana akili ya kujiongeza
 

Hun hoja mshakula vyuma, kausha tuu mkuu… muungwana akivuliwa nguo uchutama
 
Leo naona Wachambuzi Uchwala wanao chambua habari za michezo ili kumfurahisha ili wakamkope Mwenyekiti wa Yanga wametulia.

Na Manara Wametulia.
 
Nilikuwa nje ya Nchi.Hivi mechi hiyo matokeo yalikuaje.Kwako "kocha".
 
YANGA NZIMA MLOPAKWA MAVI NA SIMBA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…