mooalex Member Joined Dec 5, 2018 Posts 14 Reaction score 22 Dec 18, 2018 #1 Msanii wa Music Diamond Platinumz almaarufu Diamond azuiliwa airport kwa sababu ya kuchelewa kufika airport. We una mawazo gani kwa hili?
Msanii wa Music Diamond Platinumz almaarufu Diamond azuiliwa airport kwa sababu ya kuchelewa kufika airport. We una mawazo gani kwa hili?
wakusoza JF-Expert Member Joined Sep 30, 2016 Posts 628 Reaction score 648 Dec 18, 2018 #2 watu wamekuona fala asee
avogadro JF-Expert Member Joined Apr 30, 2013 Posts 8,082 Reaction score 14,457 Dec 18, 2018 #3 mooalex said: Msanii wa Music Diamond Platinumz almaarufu Diamond azuiliwa airport kwa sababu ya kuchelewa kufika airport. We una mawazo gani kwa hili? Click to expand... we ndio unaiona hii leo? watu tangu jana kuna nyuzi kibao zimezungumzia hili jambao, mamlaka wakatoa ufafanuzi, yeye akatoa utetezi wake, wewe hukuona au umeamua tuu ujaze server za akina melo bure?
mooalex said: Msanii wa Music Diamond Platinumz almaarufu Diamond azuiliwa airport kwa sababu ya kuchelewa kufika airport. We una mawazo gani kwa hili? Click to expand... we ndio unaiona hii leo? watu tangu jana kuna nyuzi kibao zimezungumzia hili jambao, mamlaka wakatoa ufafanuzi, yeye akatoa utetezi wake, wewe hukuona au umeamua tuu ujaze server za akina melo bure?
magnifico JF-Expert Member Joined Jan 14, 2013 Posts 11,075 Reaction score 24,634 Dec 18, 2018 #4 Bro ulikuwa mahabusu nini?!