mpima mstaafu
Senior Member
- Jul 7, 2018
- 131
- 238
Ila haiondoi uhalisia wa mimba mliyoipata jpiliHatimaye yametimia,tarehe 8/3 mlibahatisha kagoli ka Uchawi,leo kimyaa ni kulala mapema,hakuna cha Morisini wala Fey Toto Kmc kapiga mtu 1-0.
Sent using Jamii Forums mobile app
Simba anakuaje mnyonge wako wakati kwa miaka takribani minne hukuwahi kumfunga.
Uchawi?? Wewe ni mzima kweli. Nahisi utakuwa Mirembe.Hatimaye yametimia,tarehe 8/3 mlibahatisha kagoli ka Uchawi,leo kimyaa ni kulala mapema,hakuna cha Morisini wala Fey Toto Kmc kapiga mtu 1-0.
Sent using Jamii Forums mobile app