Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,680
- 6,554
Simba baada ya kukurupuka na kumwachia nahodha wakutumainiwa John Bocco, imeendelea kuwa mnyonge kwa Yanga.
Capten fantastic hawezi kukubali unyonge wa kufungwa na Yanga Mara kwa Mara. Hata Zile 5 angekuwepo tusinge fungwa 5. Hata hivyo Bocco mpaka Sasa ameshaingia kambani Goli mbili JKT Tanzania wakati wachezaji wengi wa Simba wameshindwa kufanya hivyo.
Tafadhali viongozi wa Simba acheni kukurupuka kuachia wachezaji wakati hamjui kusajili. Kama Yanga akiendelea Kushinda kila siku hii Derby itakuja kufa.
Soma Pia: FT: Simba 0 - 1 Yanga | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | Oktoba 19, 2024