Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,680
- 6,554
π Kwani unamlipa mshahara mkuuhivi Matola anafanyaga nini simba?
haoo ndoo wachawi wa simbaπ Kwani unamlipa mshahara mkuu
,πSasa ni rasmi Simba haiwezi kuifunga Yanga, hata nahodha awe Ronaldo au Messi!! Dawa ni kumuondoa kipara pale Yanga mengine ni taarabu tu!!
Nilijua Chama akiingia tu dakika za jiooooni itakuwa balaa na ikawa!!
Dahhaoo ndoo wachawi wa simba
Ateba na Auha si wana mbili mbili, jamaa wapo vizuri.Simba baada ya kukurupuka na kumwachia nahodha wakutumainiwa John Bocco, imeendelea kuwa mnyonge kwa Yanga. Capten fantastic hawezi kukubali unyonge wa kufungwa na Yanga Mara kwa Mara. Hata Zile 5 angekuwepo tusinge fungwa 5. Hata hivyo Bocco mpaka Sasa ameshaingia kambani Goli mbili jkt Tanzania wakati wachezaji wengi wa Simba wameshindwa kufanya hivyo. Tafadhali viongozi wa Simba acheni kukurupuka kuachia wachezaji wakati hamjui kusajili. Kama yanga akiendelea Kushinda kila siku hii Derby itakuja kufa
Basi hata Malota Soma ,Abdallah kibadeni, Joseph Kaniki Bado wanahitajika.Simba baada ya kukurupuka na kumwachia nahodha wakutumainiwa John Bocco, imeendelea kuwa mnyonge kwa Yanga.
Capten fantastic hawezi kukubali unyonge wa kufungwa na Yanga Mara kwa Mara. Hata Zile 5 angekuwepo tusinge fungwa 5. Hata hivyo Bocco mpaka Sasa ameshaingia kambani Goli mbili JKT Tanzania wakati wachezaji wengi wa Simba wameshindwa kufanya hivyo.
Tafadhali viongozi wa Simba acheni kukurupuka kuachia wachezaji wakati hamjui kusajili. Kama Yanga akiendelea Kushinda kila siku hii Derby itakuja kufa.
Soma Pia: FT: Simba 0 - 1 Yanga | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | Oktoba 19, 2024
Ohooo! Kumekucha tayari! πhivi Matola anafanyaga nini simba?
Umemsahau na Steven Mukwala! Ni striker hatari kutoka Uganda! Muda wote ukimuona, amelaza nywele kichwani na kuzifunga vizuri kama Didier Drogba enzi hizo!Ateba na Auha si wana mbili mbili, jamaa wapo vizuri.
Hauna akiliBasi hata Malota Soma ,Abdallah kibadeni, Joseph Kaniki Bado wanahitajika.