Baada ya Yanga leo kufungwa bao 1-0 dhidi ya Biashara United bao lililofungwa na Tariq Seif dakika ya 9, Simba SC inahitaji point 9 tu ili waweze kutetea ubingwa wao.