Simba bado tunajenga timu, kwahiyo msitupe presha

Simba bado tunajenga timu, kwahiyo msitupe presha

gonamwitu

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Posts
2,187
Reaction score
2,794
Mashabiki wa yanga a.k.a gongowazi naomba muache kutushobokea,kutufuata fuata na kutupa pressure sisi bado tunajenga timu na timu yetu imefikia 60% bado 40% ili chama litimie tuanze kuwapiga watu 8 kama kawaida yetu.

Kilichotokea jana ni mtego na yanga wameingia wazima wazima tarehe 8 wataenda kuwasimulia wafu wenzao kuzimu coz tar 8 tutawazika wazima wazima.
 
Mkishinda mnaimba ubaya ubwela. Mkifungwa au droo mnasingizia mnajenga timu
Mbona tulishasema mapema tu tunajenga timu au ulikuwa bado haujaja tanzania bi shosti?
 
Mashabiki wa yanga a.k.a gongowazi naomba muache kutushobokea,kutufuata fuata na kutupa pressure sisi bado tunajenga timu na timu yetu imefikia 60% bado 40% ili chama litimie tuanze kuwapiga watu 8 kama kawaida yetu.

Kilichotokea jana ni mtego na yanga wameingia wazima wazima tarehe 8ataenda kuwasimulia wafu wenzao kuzimu coz tar 8 tutawazika wazima wazima.
Ndo hadi namungo?
 
Back
Top Bottom