Wakifungwa na yanga watasingizia GSM+chasambi Kala mlungula.Mkishinda mnaimba ubay ubwela. Mkifungwa au droo mnasingizia mnajenga timu
Ndo hadi namungo?Mashabiki wa yanga a.k.a gongowazi naomba muache kutushobokea,kutufuata fuata na kutupa pressure sisi bado tunajenga timu na timu yetu imefikia 60% bado 40% ili chama litimie tuanze kuwapiga watu 8 kama kawaida yetu.
Kilichotokea jana ni mtego na yanga wameingia wazima wazima tarehe 8ataenda kuwasimulia wafu wenzao kuzimu coz tar 8 tutawazika wazima wazima.