Simba: Beat Nigerian Utopolo

Simba: Beat Nigerian Utopolo

Mario Kejob

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2020
Posts
441
Reaction score
536
Washabiki wa Yanga wameahidi kuisaidia timu ya Plateu kwa hali na mali ili kuhakikisha Simba inafungwa na timu hiyo.
Na wamesema Plateu wakija hapa wao ndio watakuwa wenyeji wao rasmi na watawapa mbinu zote za kuwafunga Simba.
 
Kama wao wameshindwa kuwafunga Simba watawezaje kuwasaidia wenzao wawafunge simba, hii ni sawa na kumpa mtu majibu ya mtihani uliofeli ukitegemea afaulu.
Wanchotakiwa kujua yanga ni kwamba hata hao plateau wanaojinsibu et watakua wenyeji wao wenyewe wanawaona miyeyusho tu.
Timu haishiriki hata shirikisho afu et ikupe mbinu ya kuishinda timu inyoshiriki klabu bingwa, huo si utkua ukichaa tu.
 
Kuiombea timu kufungwa 79-0 ni ukatili michezoni, Labda ungesema 7-0 Maana izo ata Brazili washawahi kufungwa.
 
Back
Top Bottom