Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UsiwalazimisheWatoe sasa. Wanasubiri nini kama mkataba wao na huyo mchezaji umekwisha tayari?
Mkataba ukiisha hakuna haja ya Release letter. Walichokuwa wanataka Simba ni kufuata taratibu kwani Morrison kwa usumbufu wake angepewa yeye barua angewageuzia kibao kuwa wamevunja mkataba ndiyo maana Simba walitaka barua itoke kwa huyo mwajiri wake mpya,hii mbona ilikuwa jambo dogo tu ila kuna watu walilikuza ili kuichafua Simba. Unaikumbuka hii kiti?Watoe sasa. Wanasubiri nini kama mkataba wao na huyo mchezaji umekwisha tayari?
Hawana namna
wewe na ng'ombe wa mayele mna tofauti yoyote kweli???Watoe sasa. Wanasubiri nini kama mkataba wao na huyo mchezaji umekwisha tayari?
Kidagaa hicho kimeshaoza ngoja kikawanukieMchukueni huyo hapo
HaswaaaaKidagaa hicho kimeshaoza ngoja kikawanukie
watatoaje bila kuombwa mkuu, wapeleke barua ya kuomba release letter... Yaani simba atoe barua ya kumwacha mtu kabla ya mkataba haujaisha na hawajaombwa.. kwenye sheria hii kitu haipo simba atakua kavunja mkataba na atadaiwa hela tamu tuu na mwanasheria msomi BM3Watoe sasa. Wanasubiri nini kama mkataba wao na huyo mchezaji umekwisha tayari?