Simba: Benard Morisson atapata release letter yake

Replica

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2017
Posts
1,681
Reaction score
8,887
Msemaji wa Simba amempongeza Benard Morisson kwa kupata kandarasi mpya na kusema hakuna shida.

Ahmed Ally amemshukuru Morisson kwa kutumikia Simba kwa miaka miwili na kudai hamna haja ya janja janja, waende na Simba itawapa release letter.
 
Watoe sasa. Wanasubiri nini kama mkataba wao na huyo mchezaji umekwisha tayari?
Mkataba ukiisha hakuna haja ya Release letter. Walichokuwa wanataka Simba ni kufuata taratibu kwani Morrison kwa usumbufu wake angepewa yeye barua angewageuzia kibao kuwa wamevunja mkataba ndiyo maana Simba walitaka barua itoke kwa huyo mwajiri wake mpya,hii mbona ilikuwa jambo dogo tu ila kuna watu walilikuza ili kuichafua Simba. Unaikumbuka hii kiti?
 
hata we
Watoe sasa. Wanasubiri nini kama mkataba wao na huyo mchezaji umekwisha tayari?
watatoaje bila kuombwa mkuu, wapeleke barua ya kuomba release letter... Yaani simba atoe barua ya kumwacha mtu kabla ya mkataba haujaisha na hawajaombwa.. kwenye sheria hii kitu haipo simba atakua kavunja mkataba na atadaiwa hela tamu tuu na mwanasheria msomi BM3
 
Hapa kuna hujuma kubwa sana ndani ya Simba na hawa jamaa watatutawala muda mrefu hadi waondoke wajinga waliopo Simba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…