ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Tuliwaambia pengo halitazibika kirahisi wakabisha sasa game ya pili mfululizo wanapigwa.
Saa kumi hii wacha tujiridhishe kwa mara ingine kuwa mambo ni magumu msimu huu.
Hakika mwosha huoshwa!
Saa kumi hii wacha tujiridhishe kwa mara ingine kuwa mambo ni magumu msimu huu.
Hakika mwosha huoshwa!