ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Usichokijua ni kwamba Simba SC itacheza bila ya Chama na Luis katika maisha yake yote yaliyobaki hapa duniani.Tuliwaambia pengo halitazibika kirahisi wakabisha sasa game ya pili mfululizo wanapigwa.
Saa kumi hii wacha tujiridhishe kwa mara ingine kuwa mambo ni magumu msimu huu.hakika mwosha huoshwa!
Well said Mkuu [emoji109][emoji109]Ndo tatizo mtu kujua mpira Ukiwa umeshafikia uzeen
Hapo vipi? Kwamba mimi sijijui eeh haya na bado!Kuna watu akitoa mada tu unamjua kabisa huyu mtu hajijui kama hajui.
Kiko wapo sasa?Ndo tatizo mtu kujua mpira Ukiwa umeshafikia uzeen
Chama, Luis na ManaraTuliwaambia pengo halitazibika kirahisi wakabisha sasa game ya pili mfululizo wanapigwa.
Saa kumi hii wacha tujiridhishe kwa mara ingine kuwa mambo ni magumu msimu huu.
Hakika mwosha huoshwa!
huo mzimu wa kinachama sahau face the reality for now face the solutions kuwa Una wachezaj wa Aina hiii Weka mfumo wa kuendana nao sasa utalaumu tu mpaka Lin hao wameshaenda Dili na waliupoKiko wapo sasa?
Ijumaa tunaenda tena season 4 simba bila akina chama
Jumlisha nyongeza za first half na second half.Ina maana Simba kacheza dakika 270 bila kupata bao, ni hatari kubwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]