Yanga hakuna timu,Kama kikosi kile Cha Simba Wameshindwa kukifunga ndani ya 90'!Bila makandokando simba hamna kitu
Yanga Ile ni ya kuunga unga na superglue,kama Wameshindwa kuifunga Simba hata 3,zile 4-1 ndo Basi tenaTo be honest Yanga walikuwa na kila sababu ya kushinda.. Wamejaribu kuonesha nn wanataka golini, just see zile kosakosa langoni mwa simba sijui ndo mnaita shot on target hali ya kuwa Simba hakupata hata 1.. Yanga amecheza bhana hawa vijana naona hata VPL wanainyakuwa hii ni ishara ya nyota mzuri kwao.
Congrula Yanga mmecheza bhana
Yanga Ile ni ya kuunga unga na superglue,kama Wameshindwa kuifunga Simba hata 3,zile 4-1 ndo Basi tena
Kwani kikosi kile kina kasoro gani ?Yanga hakuna timu,Kama kikosi kile Cha Simba Wameshindwa kukifunga ndani ya 90'!
Waliopiga shots on target nyingi lakini hawakufunga na wala hawajatoa mfungaji bora, kwa lugha nyingine ni kwamba hawako makini.... mfungaji Bora wa Mapinduzi Cup hajapiga hata mpira kulenga goli sasa tungefungaje?
Simba hatukuwa mabingwa, Mtibwa ndio walikuwa mabingwa. Pitia upya rekodi zakoUtopolo wana lenga lango mara 5 sisi mabingwa mara 0 not fair
📌 ikuingia vizuri kaa kwa kutuliaYanga hakuna timu,Kama kikosi kile Cha Simba Wameshindwa kukifunga ndani ya 90'!
Chama ameshaongeza mkataba na Simba, kwa hiyo ni mchezaji wa Simba hadi 2023 so tujaribu kubadili chorus za wimbo, maana kila siku ni chama chama. Kila siku Chama, Chama, Chama, hebu wapeni heshima na wachezaji wapambanaji wengine. Kwani timu ni washambuliaji tu? Kazi ya mabeki na golikipa hazionekani?Sasa ndio naamin team yangu pendwa simba bila mchezaji aina ya chama hatuna mbinu za kufunga
Hasa tunapocheza na team kubwa nashindwa kuamin mfungaji Bora wa Mapinduzi Cup hajapiga hata mpira kulenga goli sasa tungefungaje?
Medee kagere mfungaji bora wa VPL misimu miwili yote kashindwa kuchukua na kuweka waaa golini.
Hii yote ukiangalia hapakuwa na mtu km C Chama wa kupenyeza penetrating pass za kutegeneza nafas kwa kina Mugulu.
Utopolo wana lenga lango mara 5 sisi mabingwa mara 0 not fair kipimo cha matola kimeishia hapo hana uwezo wa kutupa ubingwa vpl km anashindwa kutengeneza mbinu za mchezaj kulenga lango.