Simba bingwa asipochukua niulizwe mimi

Simba bingwa asipochukua niulizwe mimi

Metronidazole 400mg

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2016
Posts
941
Reaction score
2,062
1..Simba haipangi matokeo kwa namna yoyote Ile, ASIPO CHUKUA UBINGWA NIULIZWE MIMI

2....Simba Haina reserved team kama upande ule, ASIPO CHUKUA UBINGWA NIULIZWE MIMI

3....Simba ndio timu pekee iliyobaki kwenye mashindano ya Caf, ASIPO CHUKUA UBINGWA NIULIZWE MIMI

4....Waambie huo upande wa pili, mpira ni usajili Bora na sio maneno maneno/kubwabwaja bila mpango, ASIPO CHUKUA UBINGWA NIULIZWE MIMI

5.... Endeleeni kupanga matokeo sana, ila mwisho wa siku Simba ndio timu Bora ya mda wote hapa tz na Africa mashariki na kati kwa ujumla..... ASIPO CHUKUA UBINGWA NIULIZWE MIMI Metronidazole 400mg ....
..nimemaliza
 
Kuuliza tu haitoshi.. tuje na viboko? Vipi Ban?

Chunga sana ndugu, usije ukayeya yeyuu..
 
1..Simba haipangi matokeo kwa namna yoyote Ile, ASIPO CHUKUA UBINGWA NIULIZWE MIMI

2....Simba Haina reserved team kama upande ule, ASIPO CHUKUA UBINGWA NIULIZWE MIMI

3....Simba ndio timu pekee iliyobaki kwenye mashindano ya Caf, ASIPO CHUKUA UBINGWA NIULIZWE MIMI

4....Waambie huo upande wa pili, mpira ni usajili Bora na sio maneno maneno/kubwabwaja bila mpango, ASIPO CHUKUA UBINGWA NIULIZWE MIMI

5.... Endeleeni kupanga matokeo sana, ila mwisho wa siku Simba ndio timu Bora ya mda wote hapa tz na Africa mashariki na kati kwa ujumla..... ASIPO CHUKUA UBINGWA NIULIZWE MIMI Metronidazole 400mg ....
..nimemaliza
Traaaaaaaaaaaaaaaaaaaash!!!!!!
 
Ubingwa huo bila shaka wa mfukoni,na utuambie ubingwa unatoka wapi wakati ligi bado?
 
1..Simba haipangi matokeo kwa namna yoyote Ile, ASIPO CHUKUA UBINGWA NIULIZWE MIMI

2....Simba Haina reserved team kama upande ule, ASIPO CHUKUA UBINGWA NIULIZWE MIMI

3....Simba ndio timu pekee iliyobaki kwenye mashindano ya Caf, ASIPO CHUKUA UBINGWA NIULIZWE MIMI

4....Waambie huo upande wa pili, mpira ni usajili Bora na sio maneno maneno/kubwabwaja bila mpango, ASIPO CHUKUA UBINGWA NIULIZWE MIMI

5.... Endeleeni kupanga matokeo sana, ila mwisho wa siku Simba ndio timu Bora ya mda wote hapa tz na Africa mashariki na kati kwa ujumla..... ASIPO CHUKUA UBINGWA NIULIZWE MIMI Metronidazole 400mg ....
..nimemaliza
Yanga akishakutangulia kwa pointi 5+ hata kama una vipolo 20! Huwezi kumkuta. Kwa hiyo ukae tu ukitambua Yanga ni Bingwa kwa mara ya 4 mfululizo.
 
Kwa huu upangaji wa matokeo sioni namna simba atachukua huo ubingwa coz vyombo vinavyosimamia mpira wetu inaonekana vinaunga mkono upangaji huu wa matokeo, ,,,,walianza kuchoma sindano mamlaka zipo kimya,mdhamini mmoja kudhamini team 8 kwenye ligi huku akiwa na mahaba na timu 1 kati ya hizo wapo kimya,leo hii wameamua wapange matokeo hadharani tuone watawafanyaje
 
Back
Top Bottom