Kumbe wale Raja waliifunga Simba ya Mgunda? Horoya, na Wydad je waliifunga Simba ya nani? Kujifariji ni jambo zuri sana ila mpira unaonekana uwanjani. Kama timu ina ruhusu goli kwa zaidi ya asilimia 60 basi kufungwa ni kitu rahisi sana. Wale power dynamo ni timu ya kawaida sana ila chupu chupu. Tuendelee kukaa kwa kutulia tusubiri muda utaamua
Shida iko wapi kaka....wacha inyeshe tuone panapo vujaa....Ni wazi mechi itakuwa ngumu ila naamini katika wachezaji wangu na mpira huu ilimradi pointi tatu na malengo ya timu yasivunjike