Simba Day 06 Aug 2023; Bahati Nasibu Kuchezeshwa Kwa Watakaowahi

Simba Day 06 Aug 2023; Bahati Nasibu Kuchezeshwa Kwa Watakaowahi

Shark

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2010
Posts
29,775
Reaction score
29,746
Kwa mashabiki 10,000 wa kwanza kufika uwanjani kesho katika #SimbaDay2023 watapewa fomu ambazo watazijaza na washindi watatu watapatikana kutoka kwenye droo ambayo itachezeshwa na Blueberry Travel Tanzania.

🛑 Mshindi wa kwanza atapata nafasi ya kutembelea Dubai.
🛑 Mshindi wa pili atapata nafasi ya kutembelea nchi yoyote ya Afrika Mashariki ambayo atachagua.
🛑 Mshindi wa tatu atapata nafasi ya kulipiwa tiketi ya ndege kwenda mkoa wowote ndani ya Tanzania.

Hakuna gharama kwa mtu yoyote ya kujaza fomu hizi na washindi watatangazwa kwenye kurasa zetu. #SimbaDay2023 #UnyamaMwingi #NguvuMoja

1691247385559.jpg


1691247379608.jpg

1691247373888.jpg
 
Hapa inatafutwa rekodi nyingine..utasikia uwanja umejaa saa tatu asubuhi
 
Back
Top Bottom