Simba Day 2021 is Loading, Chapa ilale

View attachment 1908940View attachment 1908939

Tuoneshe utopolo hapa [emoji2960][emoji2960][emoji2960]
Yule FC Platnumz ambaye alipigwa bao 6 na Yanga ndio kawa wa 22? Hivi ni vichekesho kabisa.

Kinachonichekesha zaidi ni kuona nkana kuwa ni klabu bora zaidi kuliko Yanga barani Afrika, Yaani Nkana FC ambaye alinusurika kushuka daraja msimu uliopita wa ligikuu Zambia.😁😁
 
Ndiyo makolo united

Je hili vpView attachment 1909156
Mwanachama wa Simba wa kawaida nanjilinji au namtumbo huko umwambie mambo ya cheque saa ngapi atakuelewa?,yeye mwambie Simba inaweza kukosa ubingwa kwasababu ya maandalizi mabovu,au wachezaji awalipwi mishahara hapo unaweza kumvuruga kwa hasira na kumuona Mo mbaya,lakini unamwambia mambo ya Mo ajaweka b20 kwenye akaunti ya Simba wala hawezi kumuona Mo mbaya,yeye anataka timu ifanye vizuri tu,baas.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…