Simba Day 2021 is Loading, Chapa ilale

Vunja Bei ameshakamilisha kubandika matangazo ya Mwamedi kwenye hayo malonyalonya yenu?
Yale ma bango ya gsm foam ya nini mle kwenye jezi yenye vibwengo na vikatuni yaani kichekesho saana. Jezi zina vibwengo na vikatuni.?. [emoji2960][emoji2960][emoji2960]
 
Umeanza kushabikia mpira juzi utajua wapi?
Basi tuseme TFF imewapendelea hizo pointi wamebebwa
 
Eti leo hii kwenye viwango vya ubora Makorokoro FC (ambao hawajawahi kubeba ndoo ya CAF) iko juu ya AS Vita (ambayo imewahi kubeba ndoo ya CAF).
Wewe wasema viwango vinaangaliwa kwa wakati uliopo wewe vipi..? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkukuta mnatabu nyie. Viwango vya sasa co vya miaka iliyopita.
 
Yaani kuweka chapa GSM hakaona haitoshi, akaona nyie manyani awawekee na misukule kwenye jezi
[emoji2960][emoji2960][emoji2960] vile vibwengo mle kwenye hayo ma wallpaper yao aisee noma.
 
Eti leo hii kwenye viwango vya ubora Makorokoro FC (ambao hawajawahi kubeba ndoo ya CAF) iko juu ya AS Vita (ambayo imewahi kubeba ndoo ya CAF).
Mbwa fc siwezi kukushangaa kubweka bweka ujinga huu. Maana manyani nyie mnaendelea kujifariji kujiita mabingwa wa kihistoria
 
View attachment 1909296
Uto wao wapo busy ba taarabu za manara. Tumetofautiana. Tajiri mmoja anatafuta fursa za timu na timu kubwa lakn tajiri mwingine anatafuta namna ya kupiga hela kupitia mauzo ya vibwengo kwenye jezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…