Simba Day Concert

mpira bado haujamalizika mpaka sasa hivi?
 
sisi tunaenda nje ya nchi kwa maandalizi nyie mnatoka msimbazi mnaenda ar kwa maonyesho...ndo maana tunawafunga.nyie kazi yenu mpira kwanini muende kwenye maonyesho kama wasanii wa bongo freva?ngao ya hisani mtakoma.ole wenu msitokee uwanjani.mia
<br />
<br />
Mipango ni kuchagua wacha waende sudan au ulaya simba ipo arusha tunaendeleza utamaduni wetu wa simba say na ungekuwa unajua maana ya simba day usingeongea ww na timu yako kwenda sudan
 
Ukiona kimya ujue wamefungwa
 
Ukiona kimya ujue wamefungwa
<br />
<br />
Ni kweli mkuu tumefungwa goli moja la penati, ila kuna ndugu zetu walioenda Sudan wamechezea kichapo hadi TFF wakaona aibu kupeleka timu ya Taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…