Simba Day imefutwa?

Kwani Simba day ni mwezi mzima?Si siku moja
Tu?Halafu wapi nimesema lazima iwepo?
Nimeuliza imefutwa?
Hebu jaribu basi hata kushirikisha ubongo. Ligi imechelewa kuisha na itachelewa kuanza pia. Sasa kuna ulazima gani kuwa tarehe 8 wakati usajili bado unaendelea, jezi mpya bado utatambulisha wachezaji gani. Simba day ipo baada ya kambi ya pre season Morocco.
 
Imradi tu aandike
 
Ukubwa wa Simba ndo huu, mleta uzi ni yanga ila anaiwaza Simba tu. Kwa burudani ya Simba unaachaje kuimisi.
Viongozi wetu tutangazieni Simba super cup ni lini.
 
Simba day 28 August,2021... Na siku ya wananchi 29 August,2021.
 
Simba day tar. 28/8/2021 na kilele Cha wananchi week Ni tar 29/8/2021. Kwa mujibu wa matangazo Azam tv.
 
Ukubwa wa Simba ndo huu, mleta uzi ni yanga ila anaiwaza Simba tu. Kwa burudani ya Simba unaachaje kuimisi.
Viongozi wetu tutangazieni Simba super cup ni lini.
Nilikuwa sijamsomaga, alikuwa akujaga na viuzi vyake vya kidaku Leo ndio nimejua ni Utopolo
 
Kuna anaejua Simba day ya kila mwaka tarehe 8 mwezi wa nane imekuwaje mwaka huu? Imefutwa? Kubadili tarehe?

Au kuna kauli rasmi imetoka?

Watu kama nyinyi mnatia Hasira sana. Kwahiyo hapa umekaa ukaja na upuuzi huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…