Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
st George ya EthiopiaNimekuwa na shauku ya kutaka kujua siku ya simba day. Simba anaenda kucheza na timu gani? Naona ukimya umekuwa mkubwa tofauti na siku za nyimba tungekuwa tushajua mpka sasa.
Mpira ushaingiliwa na siasa za kutegeana baina ya simba na yanga.....
Wanacheza dhidi ya kwaya ya st georgesNimekuwa na shauku ya kutaka kujua siku ya simba day. Simba anaenda kucheza na timu gani? Naona ukimya umekuwa mkubwa tofauti na siku za nyimba tungekuwa tushajua mpka sasa.
Mpira ushaingiliwa na siasa za kutegeana baina ya simba na yanga.....
Wako nafasi ya 10 kwenye ligi yaost George ya Ethiopia
Akati ni bingwa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wako nafasi ya 10 kwenye ligi yao