Simba Day v/s Wananchi Day, Compare and Contrast

Umewamaliza. Ila ksbb mikia uwezo wao ni kuongea sana kuliko vitendo. Yule mropokaji wao anawadanganya.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787].unajua zambia wapo nafasi ya ngapi kwa ubora FIFA?
 

Ni uchambuzi wa hali ya chini kabisa....Huwezi ukasema kwa kuwa Liverpool imeifunga Lille mabao 3-1 na Man City ikatoka sare na Sevilla ya Hispania eti ina maana kuwa Liverpool iko juu
 
Kufananisha ligi ya kenya na zambia ni ujinga.Tumecheza na timu nyingi za zambia na tunazichapa hapa.Mara ya mwisho yanga tulicheza na zanaco ya zambia hukohuko zanbia tukatoka 0-0sembuse powe dainamo ambayo ina maiaka 20 haishiriki ligi ya mabingwa wala kombe lolote?Ligi ya kenya imeimprove sana compared n ligi ya kenya.ko kuna uwezekano simba alijichagulia kibonde ili kufurahisha mbumbu.bu na walivyo pumbu wananasa kweli mtegoni wiki ijayo unakutana na songo chali nje ya mashindano mnabaki mnatazamana.
 
una compare kama fiv ? wewe
 
Uwanja una viti elfu 60, Yanga ilikuwa na watazamaji 40,000 na ushee. Una maana gani kusema amejaza uwanja?kama hujui maana ya kujaza basi jipange
LETE DATA KAMILI SIO STORY ZA VIJIWE VYA KAHAWA...ETI 40,000 HAHAHA
 
YANGA INAWAUMIZA VICHWA SANA NYIE MIKIA FC
 
Takwimu za FIFA ranking, Zambia iko juu kuliko Kenya, CAF wameipa Zambia nafasi 4 ktk CAF champions and Confedaration Leagues, hiyo haitoshi kukupa picha nani zaidi kati ya Zambia na Kenya?

Vv
 
Simba sc. Siyo ya kulinganisha na Yanga sc kwa Sasa, ukweli Simba Sasa hivi iko juu Sana kuliko wapinzani wao Yanga,

Ukweli huu utauona iwapo utaamua kuwa mkweli na kuweka pembeni ushabiki.
Ukweli ulio wazi
 
Kama wote walijaza uwanja sasa emagine kama siku wakikutana uwanja utakuwaje?
 
Ni uchambuzi wa hali ya chini kabisa....Huwezi ukasema kwa kuwa Liverpool imeifunga Lille mabao 3-1 na Man City ikatoka sare na Sevilla ya Hispania eti ina maana kuwa Liverpool iko juu
Hapo sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…