Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Sijui mtafanya nn mwaka huu Simba day ili mjaze uwanja, watu wamekata kabisa tamaa na timu, jana nilikuwepo uwanja wa Majaliwa Stadium tukidhalilika kwa Namungo dakika ya 89, kwanza washabiki hawakuwa na time na Simba kabisa, hakukuwa na magari ya mashabiki kutoka masasi, liwale, nachingwea, Tunduru wala Mtwara, hii ni dalili mbaya sana.
Brand imepotezwa na watu wanaong'ang'ania kazi wakati wameshashindwa.
Nani atakwenda Simba Day 2024?
Labda awepo Feitoto, Dube ingawa ni ngumu lkn bila hivyo aaaah wapi, nendeni tu.
Brand imepotezwa na watu wanaong'ang'ania kazi wakati wameshashindwa.
Nani atakwenda Simba Day 2024?
Labda awepo Feitoto, Dube ingawa ni ngumu lkn bila hivyo aaaah wapi, nendeni tu.